Ushirikiano katika biashara

Ushirikiano katika biashara

luchelele mzunguko

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
1,206
Reaction score
1,641
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa tanzania

Jamani kwa wafanyabiashara au wenye makampuni au mtu binafsi aliopo dar ambae anahitaji patner aliopo mwanza wa kufanya nae biashara nipo mimi hapa na namba zangu za simu hizi hapa 0625913799 jina michael wa butimba mtaa wa amani.
 
Napendelea biashara ya nguo za mtumba za watoto maana ndio zinamzunguko mkubwa
 
Sawa kuwa makini ngosha siku hizi watu hawaaminiki rafiki yangu, mwanza ni mji mzuri kibiashara watu ni wengi fanya wewe mwenyewe au fanya na mdogo au mkubwa wako yaani kaka au dada yako.
 
Back
Top Bottom