Ushirikiano katika Biashara

Tazamamtuhuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
277
Reaction score
90
Nawasalimu kwa jina la Yesu.
Ndugu zangu nawaomba mnisaidie kupata au kunitafutia wateja wa unga wa dona au Sembe.Unga wangu unaitwa Tabasamu upo katika uzito wa 50kg 25kg 10kg and 5kg both dona and Sembe.
Najua humu kuna watu wenye mashule ,vituo vya kulea watoto yatima,hospitali,migahawa,hotel ,maduka and vyuo.
Pia wapo watu wenye ndugu zao wanaohitaji huduma hii ya kuletewa unga katika sehemu husika hapo juu please naomba mnilink nao ili niweze kujikomboa kutoka katika umasikini ndugu zangu.
Najua wapo wengi watasoma na kunisaidia hili ndugu zangu.
Someni 1Cor13 yote inaongea jambo la Upendo basi tupendane na tusaidiane tafadhari.
Napatika kwa Simu:0652198319 au 0754352981.
Napatikana Tabata tuwasiliane kwa wale wahitaji .
Ahsantrni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…