Ushirikiano wa kuanzisha kampuni ya utengenezaji filamu, music, Radio na TV Program

Ushirikiano wa kuanzisha kampuni ya utengenezaji filamu, music, Radio na TV Program

Je huyu mtu, wataka awe na kitu gani, au awe na nini ili kuweza kuanzisha kampuni hio, je mtaji kiasi gani... Labda tayari uko na vifaa n.k Elezea vizuri!?
 
Natafuta mtu wa kufanya Naye kazi katika kutengeneza filamu, vipindi vya Radio na Television.

Mkuu fafanua unataka mshauri au unataka mtu ambaye mtachanga ili kuanzisha hiyo kampuni?
 
Nicheki 0755 914977, nko vzuri kwa ushauri na kufanya filamu kali sana, hapa kwny filamu hutojuta, vpnd vya tv na radio nko njema pia karibu am serious, nna elimu ya kutosha.
 
MTU lazima awe na vifaa vya kufanyia production ila upande wa uandishi namalizia mm kazi zipo zimesha tungwa bado tu kuzifanyia production
 
Back
Top Bottom