Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
CAF wanaifahamu Simba kwa mpira na uchawi. CAF hawaifahamu timu nyingine yoyote ya Tanzania, iwe kwa uchawi au mpiraUzuri CAF wanafahamu timu ya wachawi ni timu ipi?
Yaah ni kweli mkuu coz watu hupata umaarufu mkubwa kwa kufanya vitu vya kijinga na kipumbavu,hasa hasa kufanya uchawi mbele ya umma mchana kweupe peeeCAF wanaifahamu Simba kwa mpira na uchawi. CAF hawaifahamu timu nyingine yoyote ya Tanzania, iwe kwa uchawi au mpira
Huna sababu ya kuihusisha Yanga na hivyo vitendo vya kishirikina kama huna ushahidi ulio jitosheleza! Timu inayo jihusisha na vitendo vya kishirikina ni Simba! Na ushahidi uko wazi kabisa.Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.
Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama uwanjani na mwenda kuchimbia vya kwao, sasa najiuliza Yanga anasema ana timu nzuri haijapata kutokea, ushirikina wa nn sasa, we c unajua soka, mambo ya kalungayeye ya nini?
Simba nao wametoka kushiriki ligi ya mabingwa lakini kila kukicha mambo ya kufukiza ndio hayo hayo.
Simba na Yanga wote vichaka vya wapigaji tu
Sisi yanga tuliwaloga prison ili tupate sareHuna sababu ya kuihusisha Yanga na hivyo vitendo vya kishirikina kama huna ushahidi ulio jitosheleza! Timu inayo jihusisha na vitendo vya kishirikina ni Simba! Na ushahidi uko wazi kabisa.
Mfano ni kwenye mechi na Fc Platinum ya Zimbabwe, na pia kwenye mechi na Orlando Pirates ya Afrika Kusini! Dunia nzima inatambua simba ndiyo timu inayoamini katika hivyo vitendo! Na siyo Yanga.

Simba inatambulika na CAF kama JUJU fc bahati nzuri Yanga Wanafahamu njia za Simba Kwaiyo ata walale uwanjani wakiloga watafungwa.
Namsihi meneja wa uwanja asiruhusu Simba kuwasha moto uwanjani nyasi za Kirumba stadium ni kavu, atakuta moto umeshika majukwaa ya watazamaji na kuleta taharuki uwanjani.
hawa vipiYaah ni kweli mkuu coz watu hupata umaarufu mkubwa kwa kufanya vitu vya kijinga na kipumbavu,hasa hasa kufanya uchawi mbele ya umma mchana kweupe peee
kwan hawa wazee hapo utopoloni wana kazi ganiSimba inatambulika na CAF kama JUJU fc bahati nzuri Yanga Wanafahamu njia za Simba Kwaiyo ata walale uwanjani wakiloga watafungwa.
Namsihi meneja wa uwanja asiruhusu Simba kuwasha moto uwanjani nyasi za Kirumba stadium ni kavu, atakuta moto umeshika majukwaa ya watazamaji na kuleta taharuki uwanjani.
Yanga hawafanyi huo upuuzi. Bali waliwazuia wachawi fc wasifanye uchawi wao. Kwakweli Simba inaharibu sana mpira wetuMimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.