Ushirikina umeanza uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Makomandoo Simba na Yanga waumizana

Uzuri CAF wanafahamu timu ya wachawi ni timu ipi?
Wanaifahamu kutokana na level iliyopo. Hata Yanga inafahamika na TFF na GSM wenyewe kwa uchawi ndio maana Djuma Shabani aliambiwa akatoe alivyofukia wa Lupaso
 
Wanaifahamu kutokana na level iliyopo. Hata Yanga inafahamika na TFF na GSM wenyewe kwa uchawi ndio maana Djuma Shabani aliambiwa akatoe alivyofukia wa Lupaso
CAF wanaifahamu timu gani kwa uchawi?
 
Yaah ni kweli mkuu coz watu hupata umaarufu mkubwa kwa kufanya vitu vya kijinga na kipumbavu,
Kama vile Mwalimu Nyerere na Isaac Newton walivyopata umaarufu, au sio?
 
Kama vile Mwalimu Nyerere na Isaac Newton walivyopata umaarufu, au sio?
•Famous-Maarufu kwa mambo mazuri
•Notorious-Maarufu kwa mambo ya kipumbavu hasa uchawi

Sijajua nyie mpo kwenye kundi gani?
 
Tafuteni clip za Juma Pondamali ndio mtajua kama kweli Yanga hawarogi.Kinachowatofautisha ni platform za kufanyia huo upuuzi.
 
•Famous-Maarufu kwa mambo mazuri
•Notorious-Maarufu kwa mambo ya kipumbavu hasa uchawi

Sijajua nyie mpo kwenye kundi gani?
Famous kwa kufika robo fainali ya CAF Club Leagues mara kwa mara. Wengine wa bongo hii are neither famous nor notorious
 
Famous kwa kufika robo fainali ya CAF Club Leagues mara kwa mara. Wengine wa bongo hii are neither famous nor notorious
Yaah nimeelewa maarufu kwa kufika robo final kwa kutumia uchawi

Big congrats
 
Yaah nimeelewa maarufu kwa kufika robo final kwa kutumia uchawi

Big congrats
Mnatamani sana maana mara ya mwisho mliposhiriki makundi imeshapita miaka mingi, na mlishika mkia mara zote. Nakumbuka Raja casablanca aliichapa Yanga goli 6-0, na wakamaliza makundi wakiwa wamecheza mechi 6 na kuruhusu magoli 19. Ukibisha naleta msimamo wa kundi. au sijui nilete kabisa! Ngoja nilete
 
Daaah! Ni kweli kabisa Mzee bila uchawi huko hatuwezi kutoboa

Itabidi tuzungumze na Simba tuone namna watupatie uchawi wao ili na sisi tufike robo fainali

Au na huo uchawi wenu mtatunyima?
Au ndo uchawi huwa hawaombani
 
TANGU MZEE MPILI AWATAPELI YANGA, SINA HAMU TENA NA UCHAWI KATIKA SOKA.
 
simba mlikuwa na mechi kirumba tuanzie hapo
 
imaelekea hata mpira we hujui, ungekuwa unaujuabusingeandika hilo bandiko lako

hivi unajua maana ya kamati ya ufundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…