Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao.

Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi.

Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao.

Wanapigwa vipapayu.

Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha.
👇
 
Walevi waheshimiwe ndani ya nchi hii, kila mwaka wanapandishiwa kodi na hawalalamiki.

Wewe kama nani hata uwasemee walevi?
 
Kwahiyo serikali wafanyaje? Waende na waganga kwenye mabaa kutoa hizo dawa zilizorogewa wateja??

Yani ujiendekeze mwenyewe na maulevi yako halafu usingizie kurogwa. Umejiroga mwenyewe.
 
Kwani serikali ina amini katika uchawi?

Halafu nina swali la kizushi, kwanini hizi bar kubwa kubwa nyingi kwa mbele wanaweka vinyago vya ajabu ajabu? Nimeshuhudia sana kule songea na hapa daslam.
 
Kwani serikali ina amini katika uchawi?

Halafu nina swali la kizushi, kwanini hizi bar kubwa kubwa nyingi kwa mbele wanaweka vinyago vya ajabu ajabu? Nimeshuhudia sana kule songea na hapa daslam.
Huwa ni mazindiko
 
Back
Top Bottom