Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sio ki namna hii.😀😀😀
Acha Watu wafanye biashara Mkuu
Sio ki namna hii.
NdioKwahiyo serikali wafanyaje? Waende na waganga kwenye mabaa kutoa hizo dawa zilizorogewa wateja??
Yani ujiendekeze mwenyewe na maulevi yako halafu usingizie kurogwa. Umejiroga mwenyewe.
Anko, punguza ukali wa maneno...Hao walevi mbona wamejiroga wenyewe na pombe
Addiction kitu mbaya sana.
Huwa ni mazindikoKwani serikali ina amini katika uchawi?
Halafu nina swali la kizushi, kwanini hizi bar kubwa kubwa nyingi kwa mbele wanaweka vinyago vya ajabu ajabu? Nimeshuhudia sana kule songea na hapa daslam.
Mtu anatumia laki moja kwa saa!Anko, punguza ukali wa maneno...
Sio kwa hiari, tumerogwa
Kuroga watuKwani hao wauza Bar na Glosari wanavunja sheria ipi?