Tetesi: Ushirikina watajwa kama chanzo cha ajali

Tetesi: Ushirikina watajwa kama chanzo cha ajali

Nonsense, unatafuta likes kwenye majonzi.
 
Mr. Abel (boat operator) A.K.A captain inasemekana alikuwa amevuta mke wa mtu na kuishi naye nyumbani mwake kama mke wake. Baada ya mwenye mke halisi kufanya juhudi zote kumrejesha mkewe kwake kugonga mwamba. Ndipo alipoamua kumsemea kwa bosi wake (MENEJA) na alitishia kuchoma kivuko kikiwa na Mr. Abel (adui yake) ndani. Bosi akaona isiwe shida akamwondoa(mfukuza) kibarua.
Huyu Mr .alikuwa na mkataba mfupi but renewable kila baada ya muda fulani.
Story taimalizia like zikifika 50.
Note: Ajali ya MV Nyerere imesababishwa na wingi wa abiria na mizigo na abiria kutaka kuwahi kushuka ,( By Ukerewe DC's report).
We ni mpuuzi sana
 
Jf wangeanzisha utaratibu wa kuwapima watu akili kabla hawajakubaliwa kujiunga
 
Africa Yote yanawezekana, nasema tena lolote linawezekana.
 
Madawa ya kulevya serikali imejitahidi sana kupunguza , na bangi nayo iondolewe kwani mtu anajisemea tu.
 
Back
Top Bottom