Mr. Abel (boat operator) A.K.A captain inasemekana alikuwa amevuta mke wa mtu na kuishi naye nyumbani mwake kama mke wake. Baada ya mwenye mke halisi kufanya juhudi zote kumrejesha mkewe kwake kugonga mwamba. Ndipo alipoamua kumsemea kwa bosi wake (MENEJA) na alitishia kuchoma kivuko kikiwa na Mr. Abel (adui yake) ndani. Bosi akaona isiwe shida akamwondoa(mfukuza) kibarua.
Huyu Mr .alikuwa na mkataba mfupi but renewable kila baada ya muda fulani.
Story taimalizia like zikifika 50.
Note: Ajali ya MV Nyerere imesababishwa na wingi wa abiria na mizigo na abiria kutaka kuwahi kushuka ,( By Ukerewe DC's report).