Ushirikina: Watu kugeuka kuwa na miguu ya ng'ombe

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Wakuu igweee...

Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kufanya mapenzi na wake au waume wa watu. Kuna ukweli.

Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo kaingiza miguu na kuweka miguu ya ngombe mbele
 
Siku hizi Mambo ya Sanaa yamejaa sana..

Mambo ya graphics zimejaa mno
 
Hivi tuwaambiaje muamini kwamba msiwaamini hao wanaotaka muamini.
 
Wakuu igweee...

Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kfsnya mapenz na wake au waume wa watu. Kuna ukweli.

Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo kaingiza miguu na kuweka miguu ya ngombe mbele
Maigizo
 
Chai hizo.Wameunganisha unganisha some graphics na kufanya usanii.
 
Back
Top Bottom