Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Mwanafunzi wa kidato cha PILI katika shule ya sekondari ya DOTTO BITEKO,
Kijana MATHEW PETRO mwenye umri wa miaka 17 amejinyonga mpaka kufa
Taarifa kutoka kwa mwanafunzi mwenzake aliekuwa akisoma nae amesema sababu ya kijana MATHEW PETRO kuchukua uamuzi wa kujitoa uhani ni KULAZIMISHWA KUSOMA ikiwa hataki kuendelea na masomo,
Msiba upo nyumbani kwao karibu na msikiti ulio karibu na LA VILLAGE na anatarajiwa kuzikwa jumatatu ,
MANI ALAUMIWE ?