Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Mwanafunzi wa kidato cha PILI katika shule ya sekondari ya DOTTO BITEKO,
Kijana MATHEW PETRO mwenye umri wa miaka 17 amejinyonga mpaka kufa ,
Taarifa kutoka kwa mwanafunzi mwenzake aliekuwa akisoma nae amesema sababu ya kijana MATHEW PETRO kuchukua uamuzi wa kujitoa uhani ni KULAZIMISHWA KUSOMA ikiwa hataki kuendelea na masomo,
Msiba upo nyumbani kwao karibu na msikiti ulio karibu na LA VILLAGE na anatarajiwa kuzikwa jumatatu ,
MANI ALAUMIWE ?
Akuna lolote angekua fundi maiko tu.Ona sasa tumepoteza kipaji kwenye fani ya ufundi, michezo, sanaa, nk! Unamlazimisha mtoto kusoma elimu ya kukariri, na isiyo msaidia chochote kwenye maisha yake kwa miaka minne!
Na wakati mtoto huyo huyo angeenda ufundi stadi, angekuwa bonge la fundi kwenye jamii yake.
KubatizaPetro hakutaka kusoma alitaka Nini ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Kubatiza
Kabisa,Mafundi kibao wana njaa kitaa.Akuna lolote angekua fundi maiko tu.
Na wahitimu wt wa chuo soli za viatu vimeisha wakisaka ajiraa ....kp kingekuwa mkombozi kwakee!Kabisa,Mafundi kibao wana njaa kitaa.
Kuna mengi nyuma ya hayoHii sababu ya kifo chake bado sijaridhika nayo