Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Kumekuwa na tabia ya kutukana vijana wenye maisha mazuri kuwa wanahongwa au wanashogeka ndiyo sababu ya kupata maisha mazuri
Tabia hii itaongeza idadi kubwa ya mashoga kwasababu si ngumu kwa kijana kuacha Landcruser au Mercedes Benz kwasababu ya kuogopa kutoa utu wake
Kumbukeni kuwa vijana ndiyo wenye msongo mkubwa wa mali na hawashindwi kufanya lolote ili wapate mali
Vijana hawashindwi kukaba au kuua wanapokuwa na msongo wa mali
Tabia ya kusema fulani ana maisha mazuri kwasababu ya kujiingiza kwenye ushoga msidhani inawafedhehesha hao waliojiingiza bali inaongeza matamanio ya kupata mali hizo
Mwisho wa siku vijana hawatashindwa kujiingiza
Unaweza kutukana au kudhalilisha mashoga lakini kumbe mwisho wa siku ukajikuta umeongeza idadi yao
Kuna tabia ya kumsema Ommy Dimpoz kuwa anamiliki mali za kifahari kwasababu ya ushoga na wasemaji wakadhani kuwa wanamdhalilisha lakini wasijue kuwa wanawachochea vijana wengi kupata hizo mali na mwisho mkaongeza idadi ya mashoga mara dufu