Ushuhuda: Baada ya miaka sita ya ndoa, hatimaye nimeitwa mama

Ni kipindi kigumu Sana tena ikiwa ni kwa muda mrefu. Mkuu kweli kila mtu na imani yake. Mimi hayo maumivu yalikuwepo yakaisha na still sikubeba mimba. Nimekaa miaka sita tangu nianze kuhangaika. Nimehangaika nimechoka nimepata mimba katika wakati ambao sikutarajia kabisa.
 
Hongera dada siku zote Mungu hujibu kwa wakati wake
 
Pole na hongera tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…