Ushuhuda: Baada ya miaka sita ya ndoa, hatimaye nimeitwa mama

Sisi ni mavumbi na kwake tutarejea. Pumzika kwa amani mtoto.
 
Hongera Mungu amkuze mwanao katika kimo na akili pia kumbuka kutoa sadaka kwa Bwana maana anatakiwa kutoa malimbuko kwa uzao/matunda ya kwanza toa zawadi/sadaka kwa aliyekupatia (Mungu)
 
Hongera Mungu amkuze mwanao katika kimo na akili pia kumbuka kutoa sadaka kwa Bwana maana anatakiwa kutoa malimbuko kwa uzao/matunda ya kwanza toa zawadi/sadaka kwa aliyekupatia (Mungu)
Mtoto hayupo tena..

Pumzika mtoto!
 
Huyu dada kafiwa na huyu mtoto jana.
Masishi yako Moshi nadhani. Uzi upo uliletwa

Mungu akutie nguvu
RIP Mwanao
Duuh! Tena [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32] [emoji24]
Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwakweli.
 
Duuh! Tena [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji32] [emoji24]
Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwakweli.

Ndo hivo mkuu. Binadamu sisi ni wake Muumba na muda wowote anatuita turudi kwake. Na kamuita huyu malaika mdogo aliyekuja duniani baada ya kutafutwa kwa nguvu nyingi. Pale unapopumzika ukidhani umemaliza na Mungu ndo anaonesha kusudio lake.

Wacha yeye atukuzwe,mtoto apumzike pema na mama ajaliwe nguvu kupita kipindi hiki kigumu
 
Amina!
 
Stress pia zina mchango mkubwa sana kwa mwanamke kushindwa kushika ujauzito, ulipo fika kipindi ukaacha kuahangaika na stress zikaisha ndipo ulipo nasa!
 
unahisi kusudio lilikua ni nini mpaka ukachelewa kupata?...

kuna vitu hua tunakuja kuvielewa baadae sana...
 
Daaah! Hii story mwanzo ilinifurahisha, ile nimesikitika sana later.
I hope mpaka sasa Mungu ashakutia nguvu Linamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…