Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,121
- 885
Ni mmoja wa watu wanaishi na Pumu aka Athma. Kama mnavojua ugonjwa huu hauambukizi, Mimi Nimekua nao maisha yote! Mama yangu anasema nilipokua mdogo ilikua inanisumbua sana lkn katika maisha yangu ya teenager hadi miaka ya 20-30+ ilikua inatokea marachache sana lkn kadiri umri ulivokua unasogea nayo ikapamba moto nakumbuka miaka mitatu nyuma Dr alinishauri nitumie spray inhalator mara mbili
Kwa siku Kwani ilikua inapunguza volume ya mapafu yangu! Sikupenda hii njia lkn ilibidi maana nilikua hata nikitembea kwa haraka pumzi inakata!! Basi nikaendelea kutumia na Dr aliniambia nitafanya hivo kwa maisha yote! Lilivokuja janga la corona watu waliokua kwenye risk ni wale wenye magonjwa Kama ya asthma nikajiuliza nitatoboa kweli likinifika! Basi chanjo ilipopatikana na enzi za mwenda zake kukataa mambo ya chanjo ikabidi niifate Dubai!
Ilikua March nikachoma ya kwanza nikarudi baada ya wiki tisa!Nilipochoma chanjo ya kwanza nilijisikia ahueni flan hivi ya kifua kubana kama sikutumia dawa! Baadae nikawa nakaa hata siku tatu! Mimi nilichanja Astra zeneca!
Basi baada ya wiki tisa nikarudi kuchanja na ya pili kwakweli sijatumia tena dawa yangu ya asthma na sijapatwa na dalili yoyote tokea mwezi wa tano tarehe mbili nilipomaliza chanjo zote za corona! Huo ni ushuhuda wangu sijui kama nimepona kbs au ni nafuu ya muda tu!