Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

hizo ni pep za zamani.. regime ya sasa hivi unameza kama panadol tu. Yaani husikii chochote kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakuelewa ambao yameshawakuta haya,mmojawapo mimi
 
Umenikumbusha kitu.....nilikuwa kama kichaaa....anyway kuchovya chovya siyo powa .......na kaumri kangu haka kadogo ningeshakwisha...
 
Ulikuwa umameza TLD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ kama nakuona vilee..
Vumbi la kongo ukajiona wew mjanja, umefanya mapenz pekupeku na kahaba then ukanywe PEP...

Soma hiyo...
Imeisha hiyo 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Eti kama panadol acha mabo yako...mwezi february nilimeza baada ya kujichomana sindano wakati namshona mtu,halafu mwamba hataki kupima na kila nikimwangalia simsomi ..nikaamua tu kutumia PEP,tofauti niliyoiona zile PEP za mwaka 2018 nilizotumia nilteseka sana usiku ndoto mbaya ,kuchoka ,kupoteza hamu ya kula na usingizi nk ila hizi za sasa nilimeza usiku nikalala fresh ilipofika asubuhi nilikua natapika na kuharisha kichwa kuuma na kizunguzungu aisee nilimeza siku mbili nikaacha nikasema namuachia Mungu nakumbuka ile siku waliniwekea drip mbili maana niliharisha mno na kutapika.

Sasa miezi minne niko safi Mungu mwema.
hizo ni pep za zamani.. regime ya sasa hivi unameza kama panadol tu. Yaani husikii chochote kabisa.
 
Hapo unaposema Kila ukimwangalia humsomi unamaanisha nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh sana lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…