nothing good to remember.. Niliitumia kwa mwaka mmoja, na hakuna faida yoyote niliyopata....
sana sana nilikuwa nafanya kazi bila break, nalima shamba eka moja kwa masaa 8... M-sure akanistukia hii speed sio ya kawaida, hapa hajui kama hata sigara navuta, je akijua bangi nachoma, si atanipiga pisto.. niaacha
Hapo ni bibi yangu alishaanza maneno maneno, huyu mtoto mbona anafanya kazi bila kuchoka,lazima anachoma dope.... na mdingi alivyoanza kutilia shaka, nikasarenda....almost a year nilikuvuta mmea...
Sio kitu kizuri kabisa