Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
Mitiki sio kilimo mkuu, ni uwekezaji.Tumesikia mengi kuhusu kilimo cha mitiki kwamba kinalipa. Tafadhali mwenye ushuhuda na hii biashara atupe abcd .....ya namna ghani biashara hii inafanyika baada ya kupanda mpaka miti inapikuwa imekomaa.
Mkuu shamba liko wapi.Eight years old teak treesView attachment 758353
Mitiki hutumika kama dhamana ya mkopo. Lakini ni lazima uwe na biashara au mwajiriwa ikiwa kama namna ya kuweza kurejesha mkopo.Niliwahi kusikia kuwa kuna benki zinatoa mikopo kwa kutumia mitiki kama dhamana, kuna ambaye anao huo uzoefu atusaidie?
Mitiki hutumika kama dhamana ya mkopo. Lakini ni lazima uwe na biashara au mwajiriwa ikiwa kama namna ya kuweza kurejesha mkopo.
Kwa wilaya ya kilombero na ulanga kuna kampuni inaitwa kilombero valley teak co ltd, hawa wanatoa mikopo kwa wakulima kwa mashart ya kuja kuwauzia wenyewe.. hawa hawahitaji mkulima awe na biashara au kazi
Mkuu shamba liko wapi.
Mbona miti yako imekosa afya kwa umri wa miaka 8.?
Hahaha...happy to see this info, dah miaka nane. I am super humbled you know.Eight years old teak treesView attachment 758353
Eight years old teak treesView attachment 758353
Hongera sana ingawa miti yako inaonekana kudumaa.Eight years old teak treesView attachment 758353
Hongera boss! Hapo ni mkoa gani?Ya kwangu ina miaka minne.
Hapo labda uuze mirunda.Eight years old teak treesView attachment 758353
Hapo ni mkoa was Tanga.Hongera boss! Hapo ni mkoa gani?
Sawasawa [emoji111]Hapo ni mkoa was Tanga.View attachment 1246147