USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

Brother wee unauza hao cross breed au? Uko wapi ninahitaji skills na information za kutosha maana nataka nifuge kuku kijijini
 

Nimeisoma Makala nimeilelewa ila napenda niulize kidogo kwenye changamoto ulizozisema za kuku wa kienyeji?

1.Umesema mayai yake kwa vile yamerutubishwa yanawahi kuharibika (NI KWELI NAKUBALI)...lakini pia hata chotara mayai yao yamerutubishwa na yanawahi kuharibika vilevile....Hujatuambia ukifuga chotara hiyo changamoto unaiepuka vipi?
2. umesema soko la mayai ya kienyeji lipo juu (sawa)...kumbuka hata chotara mayai yake bei iko juu vilevile je hiyo changamoto unaiongeleaje?

Mwisho naomba kuuliza kati ya kuku wa kienyeji,chotara au pure kisasa (Layers/Broiler) wapi wanalipa kwa biashara?
 
Mimi tokea nikiwa mdogo tumefuga kuku wa kienyeji nyumbani, Kuku wa kienyeji ni kwaajili ya mboga na mayai ya nyumbani. Kumfuga kibiashara ni kupoteza muda na pesa.
 
Naweza kupingana nawe kwani mimi ni mfugaji wa hawa kuku wa kienyeji...... nina kuku wa kienyeji pure kuku hawa ni wazito zaidi ya hawa cross breed,napia katika soko wateja wanakataa hawa cross breed kutokana na kutokua na ladha ka ma iliyo kwa kuku wa kienyeji pure.

Mlaji wa kuku hata akute nyama yakuku imepikwa kwa harufu atajua ipi kienyeji ipi chotara nk.
napingana na dhana ya wafanyabiashara kwa mtindo wa udanganyifu kua kuku fulani ni bora zaidi.......

hivi ubora wa black america na mwafrica ni upi?
 
Mimi tokea nikiwa mdogo tumefuga kuku wa kienyeji nyumbani, Kuku wa kienyeji ni kwaajili ya mboga na mayai ya nyumbani. Kumfuga kibiashara ni kupoteza muda na pesa.
Hata mimi nilipokuwa mdogo nilikua na kuamini kwamba, baba yangu ana nguvu kuliko watu wote duniani (lolote halimshindi) lakini sasa nipo ulimwenguni nimejua kuna zaidi ya yale niliyoyafahamu nikiwa mdogo
 
Ukifuga kuku wa kisasa utapata faida ila tenga muda.. mm nimefaidika mwaka 2013 nilikuwa nafuga 300 kuku bandani leo nafuga 10,000 mkuranga.. kuwa n.a. heshima n.a. kazi yako n.a. uipende pia...
 
c
cjawahi ona package mbovu ka hyo yako,,, iv unauza kweli kaka ??? mi ni mteja sio muuzaji sithubutu kununua bidhaa kwenye izo nylon zilizofungwa ka kanga ya bibi anaenda msibani.....!!!!! khaaaaa,, ukitumia 3000/= kupata package ya kimataifa utapungukiwa nini??
 
Basi tutafuga wa kula tu! Hata mimi umenifungua macho...
 
Habarini nyote wakuu,,,,,,,,

Naitwa Juma nimwanachuo ninaeelekea kumaliza diploma yangu ya manunuzi na ugavi,

Ninachokiamini nikwamba nitakapomaliza chuo sitoweza pata ajira kwaharaka iwe public au private sectors kulingana namfumo waajira jinsi ulivyo nchini, muendelezo wa elimu yangu hauta ishia hapa dhamira yangu nikufika mpaka kiwango cha lami nazaidi ila kwahuu muda kabla cjasubutu kufikisha elimu yangu kiwango cha lami nitapenda nijishughulishe ili mwisho wasiku nisionekane bado nategemea pahala flani,

Wazo linalonijia kichwani kila ninapotizama kulia nakushoto ni uuzaji wakuku za kienyeji ambapo targeted customers wangu ambao hakika nitakuwa nawalenga ni vihoteli vidogovidogo navyasaizi yakati ambavyo vinapatikana mjini na pembezoni mwa mji kwenye mkoa wangu pia ninawalenga wauzaji wakuku walioko mjini ambapo nitakuwa nawauzia products zangu ambazo binafsi mm nitakuwa nazitoa vijijini

OMBI
Najua wengi wenu mna experience namambo haya hivyo ninaombeni mnishauri juu yawazo hili kuwa halifai nahaliendani nasoko lasasa au vp, kama nisahihi wapi nilekebishe wapi niongeza ili kusudi zile costs ambazo ni unnecessary niziepuke nanitegemee matokeo chanya juu ya wazo hili

NB
Nimarayangu yakwanza kufanya biashara maana cjawahi Fanya biashara yoyote before hivyo masuala ya risks nayasikia kwenye vitabu tu ila kiuhalisia cjawahi kumbwa nayo physically

PLEASE HELP ME,,,,,,,

Karibu
 
Muongooo huyu,,anataka watu wakanunue tuu kwake hao kuku chotara,,,hamna ukweli wowote hapoooo
 

ukishatumia iyo 3000 kupata package ya kimataifa, then unamuuzia uyo kuku nani......people are sensitive kwenye prices....uongeze gharama za uzalishaji kwa 3000 kisa package ya kimataifa then una recover vipi iyo gharama, kwa kumwongezea mteja bei?..... chief kwenye hii sekta usilete theories unazokariri darasani.....tunajua wateja wetu wanataka nini, nankwa bei gani......
 
ginner nimekuelewa sana naomba kujua wapi naweza pata sussex kuku 0763370175
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…