USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

Okay kama bei zipo ivyo, soko lake ni mahotelin tu na migahawa mikubwa labda, maana vibanda vya chips kuku wao ni hawa wa 7000/=
au nipe somo kidogo kwenye masoko kama hautojali ndugu yangu
Kuku wa 7000/= ni hawa kuku wa kisasa, 'broiler'.
Kuku wa Kienyeji, 'Indigenous breed', katika Miji yetu Tanzania, hupatikana kwa bei ya 10,000/= na kuendelea.
Na hiyo siyo bei ya Hoteli kubwa au Migahawa mikubwa.
 
Mkuu upo mkoa gani? Nikiwa tayari naomba nikucheki PM
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hii ni biashara kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…