USHUHUDA: Kuna Waganga na Waganga njaa, huyu ni Kiboko

Wewe una njia nzuri mkuu kwa huyu mungu wako???
 
Mimi nimependa mtoa post anavyojibu"tulia blaza kila mtu na namna yake ya kutafuta maisha[emoji16][emoji16]" hlfu bdo mtu anahangaika kuona jamaa anawadanganya..MWIZI HAJITAJI!

#MjingaHaweziKuelewa
Tafadhali bro daaah Sina maana hiyo kabisa mm nimeshare tuu niliyoyakuta na kilicho tokea ktkt maisha yangu sasa ukifikiria kuwa mm nataka kutapeli watu unakosea sana, mbn wengi wamepost humu kuhusu hayo mambo iweje mm nionekane nimekosea? Anyway Kama nilikosea basi kila mtu apambane ajuavyo kaka,
 
Hapo sasa haelewi kwa sababu hajui maisha yalivyo huyo
Very true brother .Binafsi sio mdau wa ndumba ila naamin kama wewe kwamba mfumo wa kufanikiwa maisha umefungwa katika ulimwengu wa roho zaidi.Kataa kubali.Maisha yana siri ngumu sana na ukiona uko unaishi kawaida tu ila mambo yako yanaenda basi jua fika kuna watu wanakupambania behind the scene badala yako ..Na ukiona pia mambo hayaendi bas jua kuna mambo hayako sawa behind the scene..Sasa kazi kwako.kukesha kwa waganga au kanisani au msikitini hiyo sasa ni chagua lako unapodhan ni mahala sahihi kutatua shida zako
 
Huo ndo ukweli kila mtu anatafuta njia yake aionayo inamfaa, kuna watu wana mwamini mwamposa kuliko hata aliye waumba na wao pia wana fanikiwa maisha yana Siri kubwa mkuu
 
Shindwa pepo
 
Jibu lako linaonyesha una uelewa mkubwa wa maisha. Hongera Mr. "Dark Day"
 
Kuna watu unawaandaaa UJE KUWAPIGA NA KITU KIZITO UTOSINI.
 
#Mganga alijua hasira zako zote sababu huna hela🤣🤣
 
Wakweli wapo na matapeli wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…