USHUHUDA: Kuna Waganga na Waganga njaa, huyu ni Kiboko

Mkuu kwa hiyo unapenda kutuona tulivyopauka na hili vumbi?? Namba sio kitu cha kunyimana bhana[emoji2955][emoji2955]
 
Sawa kwa kuwa mm ndo mganga eti? Nikwambie tuu usiwe na imani hiyo ipo siku watu watatoa shuhuda humu wakinishukuru
UNATAKA WAKUFUATE PRIVATE UWAPE NUMBER WAWASILIANE EITHER NA WEWE MWENYEWE AU JAMAA YAKO. SHETANI HANA URAFIKI NA BINADAMU ISIPOKUWA ANAPOTAKA MPOTEZA. WATAKUJA WENGI WA KUTAKA UTAJIRI.
 
Maisha yana siri kubwa sana umenikumbusha way back naanza kutafuta maisha nilipelekwa Tanga Handeni porini uko kwa mtaalamu nikalala makaburini siku4 na chini ya mbuyu siku 3, siku ya kuagwa nirudi home mtaalamu alifanya mandingo yake then akaniambia fumba macho nilikaa kama dk2 kufumbua najikuta nipo gheto nimekaa kwenye kiti.. siwezi kuja kusahau[emoji17]
 
Tabora Unyamwezini
 
UNATAKA WAKUFUATE PRIVATE UWAPE NUMBER WAWASILIANE EITHER NA WEWE MWENYEWE AU JAMAA YAKO. SHETANI HANA URAFIKI NA BINADAMU ISIPOKUWA ANAPOTAKA MPOTEZA. WATAKUJA WENGI WA KUTAKA UTAJIRI.
Daaah ila jamani watu niny n kiboko kwa kweli yaani ukijisikia tuu kulopoka unalopoka daaah haya bhana
 
Halafu kuna watoto wa juzi juzi hapa wanakataa haya mambo wengine wananiita tapeli jamn, hawajakumbana na mikiki ya utafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…