USHUHUDA :Leo kwamara ya kwanza nime pewa na mdada jicho,nimekula

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Katika mishe mishe za kutumwa na bosi nkaenda ofisi moja nkakutana na secretary wa haja toka tanga kimuonekana yukokama masogange sema huko nyuma lawama zaidi .

Basikidume nikajikaza nimtoe lunch mtoto hakuchomoa,basikwenye lunch tukazoeana kiasi cha kupigana kidalipoo,tukabadilishana namba .

Hata sijafika mbalikanitext kwa kuwa wote tukooff keshoniende mapema tukashinde kwake mchizi nikakubali akaongeza manjonjo ''your so gentle leo ntakupa kitu hujawahi pewa huko bara,ilausimwambie mtu '' ,kufika kwake namkuta na kanga moja huoupaja yalabiiiiii ,mchizi nlikuwa nishabugia vitunguu saumu punje kumi na maji nkasema leo naiwakilisha kanda ya ziwa vyema .

Baada ya muda akaenda chumbani nusu saa akatokea jamaa akiwa na taulo na singlet ,nikiwa nimetumbua macho jamaa akatabasamu na kuniita jina langu akinipa mkono ''ahh bila shaka wewe ni spanaboy '' Ndio ndo mimi akaniambia ''dah mchumba wangu kakusifia sana unabidii sana kazini'' Nikamuomba atukutanishe mdogo wangu .

Baada ya story mbili tatu ukaletwa mlo huu



SUPU YA JICHO LA NGÓMBE

Kwakweli nilishangaa sana kwani sikuwahi hata kujua kama linaliwa basi nikanywa soup yangu nilipomaliza nNikaaga Jamaa akanisindikiza hadi kwenye ka vits kangu ,kisha akaniambia nakupa siri usimwambie mtu kesho namvisha pete shemeji yako so naomba ukanichagulie ntakutumia pesa .

Hapa niko mlimani cty nachagua pete ,ushauri ni pete ipi nzuri kwa kuchumbia wakuu.
 
Duh nilitaka, nitume jina lako mkuu kule kwa darasa la 7.
Hahahaaaa
 
Mkuu utakuja kusababisha watu tuvunjike miguu kwa sababu ya mbio...... Sio kwa hiyo heading na intro
 
Hivi wadada wa Tanga wanapenda sana mchezo huu?
 
Aysee Tittle na Intro haifananii na conclusion kabsa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa aliku amber ruty sema umeogopa kusema,. [emoji16][emoji23][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…