The Crushing
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 569
- 903
Lakin vipi ulivyosoma intro?kwanza nilivyoona iko jukwaa la jokes speed ikapungua mpk 10
Hata miye, nikajua kasafisha mtaro.Nimekuja nduki, nikajua umekula kiwele...tehteehh [emoji23] [emoji12] [emoji13]
Lakini ukuwadi unakufaa.....
Hata miye, nikajua kasafisha mtaro.
Kumbeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee......................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ningekuwa mwalimu wako wa kiswahili basi ningekupa 5% kwa utunzi huu wa kuwatoa watu udenda halafu unawaacha mataa