Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
...duFuateni matendo yake
Jar created weed, man created cigarette.Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Je ni sahihi mchungaji kukiri kuwa alikuwa mvuta bangi mbele ya waamini wake?
Asubuhi njema
Anatafuta tu kiki avute kondoo zisizojielewakwan bangi n tatiZo wakuu nipeni mwongozo