Habari zenu wana janvi
Naomba sana sana sana uzi huu utumike kutoa USHUHUDA ni jinsi gani umetatua tatizo la kushindwa kushiriki tendo
Post zimekua nyingi na asilimia kubwa zimejaa mizaha na kejeli wakati ukweli ni kwamba hili tatizo linasumbua na kuumiza sana kisaikolojia
Waathirika wamegeuka fursa na kila mtu siku hizi amegeuka mganga wa kutibu nguvu za kiume...... utapeli mtupu
Mshukuru sana Mungu wako kama huna tatizo hili hivyo basi usichangie kejeli wala mizaha
Pia kama wewe sijui ni daktari au mganga wa jadi tunaomba usichangie kuhusu dawa gani inafaa
HAPA TUNATAKA USHUHUDA TU wa wale waliopona tatizo hili na walitumia TIBA zipi?
na tuelekeze maswali kwa watoa ushuhuda ili tupate picha kamili
Asanteni kwa kunielewa [emoji120][emoji120]
Tunasubiri shuhuda kama zipo