Vyakula+mazoezi+kuepuka tabia hatarishi kwa miezi 2.nikianza na vyakula nilikuwa napendelea sana asali(asb na jioni kijiko 1),chai yenye tangawiz ya kutosha,maji ya kunywa ya uvuguvugu,tikiti maji kipande kila jion,mbogamboga(wakati wa chakula cha mchana),usiku nakula matunda tu na siku nyingine chakula chepesi sana,pweza na supu yake na kuachana na vyakula vyenye madhara kama vile chips,soda,maji barid etc.mazoez yalikuwa ya aina 2.ya kwanza ni ya kawaida ya kuleta stamina ya mwili(dakika kama 45 asb na jion),na zoez la pili ni la kusababisha flow ya damu kwenye penis i.e nachukua kitambaa naweka kwenye maji ya uvuguvugu then na apply kwenye penis kwa dakika 3-5(max),then naondoka kitambaa alafu nakuwa kama unaipiga vibao penis kwa dakika 1,ii nilikuwa nafanya asb na jioni.na niliepuka tabia zote hatarish kama kutazama porn,kufikiria sana mapenzi na kutokaa peke yangu kwa mda mwingi.io ndo kwa ufupi sana.