Ushuhuda:nimeregain hali yangu

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
209
Reaction score
37
Niliathiriwa na upigaji nyeto na nashukur ushaur wenu nimeufanyia kazi,napiga mzigo kama zamani.size ya machin imerudi kwenye hali yake(ilikuw ndogo baada ya kuathirika na nyeto).tatizo nililonalo ni maumiv ya mgongo,sasa naomba nijuzwe kuhusu aya maumiv ni kutokana na nyeto ile ile au dalili za ugonjwa mwingine?nitumie dawa gan(hususan tiba mbadala)kumaliz tatizo ili la mgongo.ahsanteni.
 
Huo sio ushuuda mkuu hayo sjui ni maelezo sjui nini!

ushuhuda unatakiwa utuelezee
ulipataje tatzo
uli2mia dawa gani
umetumia mda gani kupona
atleast ukielezea hayo tunakuwa tumekuelewa!!!
 
Vyakula+mazoezi+kuepuka tabia hatarishi kwa miezi 2.nikianza na vyakula nilikuwa napendelea sana asali(asb na jioni kijiko 1),chai yenye tangawiz ya kutosha,maji ya kunywa ya uvuguvugu,tikiti maji kipande kila jion,mbogamboga(wakati wa chakula cha mchana),usiku nakula matunda tu na siku nyingine chakula chepesi sana,pweza na supu yake na kuachana na vyakula vyenye madhara kama vile chips,soda,maji barid etc.mazoez yalikuwa ya aina 2.ya kwanza ni ya kawaida ya kuleta stamina ya mwili(dakika kama 45 asb na jion),na zoez la pili ni la kusababisha flow ya damu kwenye penis i.e nachukua kitambaa naweka kwenye maji ya uvuguvugu then na apply kwenye penis kwa dakika 3-5(max),then naondoka kitambaa alafu nakuwa kama unaipiga vibao penis kwa dakika 1,ii nilikuwa nafanya asb na jioni.na niliepuka tabia zote hatarish kama kutazama porn,kufikiria sana mapenzi na kutokaa peke yangu kwa mda mwingi.io ndo kwa ufupi sana.
 
Kuelezea kila kitu saa zingine ni ngumu ila kama upo maeneo ya mbagala rangi 3 tunaweza onana nikakushaur zaidi
 
hongera...!

thanx,hamna kitu kilochokua kinanitesa kama ii ishu.kama 1 yr nimesumbuka na hili tatizo.nilikuwa nikimgusa 2 demu namwaga na ngoma inagoma kuamka.ni karibia wiki ya pili toka nione changes.
 
Kuelezea kila kitu saa zingine ni ngumu ila kama upo maeneo ya mbagala rangi 3 tunaweza onana nikakushaur zaidi


hapa sipo huko Dar!
Maana yangu ilikuwa ushuhuda uliokuwa umeuka ulikuwa haujakamilika kwahyo nilitaka uweke na kwa faida ya wengne hata kama nisingekuuliza mimi bas kuna mwingine angekuuliza!
Kama mazoez hapa ndo nyumban kwake
kuhusu matnda ndo usiseme
kama msos nakumbuka nilipoacha kutumia sembe 2010
na sukari niliachia hapo kwa pa1
asali kwangu ndo sukar, dumu la asali linatumika kwa mieaz 6 na tupo wa2 na wife!
Jiuli nakunywa au na lamba?
Hapa nasubr mwez wa 6 niagize lingine!!
 
thanx,hamna kitu kilochokua kinanitesa kama ii ishu.kama 1 yr nimesumbuka na hili tatizo.nilikuwa nikimgusa 2 demu namwaga na ngoma inagoma kuamka.ni karibia wiki ya pili toka nione changes.

Mkuu kwa hiyo saivi unapiga vingapi kwa game moja na unachukua muda gani hadi kupeee?? Anyway hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…