Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Hapo awali ilisemekana kama Ulikuwa kwenye ARV, ukipata kikombe cha babu basi uziache hizo ARV.
Sasa hivi kibao kimegeuka, ukiwa kwenye ARV, kisha ukapata kikombe cha babu, basi endelea tu na hizo ARV. sasa mimi najiuliza mbona haya masharti yanabadirika badirika?.
Kuna kitu kimoja, kna mtu alishawahi kuniambia, kwamba pindi Nchini kunapokuwa na mijadala mikali sana kiasi kwamba kutishia amani Usalama wa Taifa huwa wanaibua kituko fulani ili kubadili upepo wa mijadala. chukulieni mfano wa ishu ya mtu Kuota manyoya Salender bridge, inasemekana hiyo ishu iliibuliwa kimakusudi na usalama wa Taifa ili watu wapay attention kwa hiyo issue waache kuhoji mambo fulani. Au Chukulieni issue ya Popo bawa kule Zanzibar katika miaka ya 90.
This time inawezekana wameamua kumtumia babu, japo inawezekana Babu mwenyewe haelewi hii game inavyochezwa, yeye anaamini kwamba kweli kafunuliwa, kumbe usalama wa Taifa wanatumia vyombo vya habari kumpaisha, na unaweza kukuta viongozi wengine wanaokwenda huko ni maajenti wa usalama, wanajua wanachokifanya, wengine hawajui kwa sababu si viongozi wote wanapata classified info za usalama wa Taifa n.k, Ukizingatia hali ya kisiasa ilivyo tete nchini, kuanzia uchaguzi mkuu uliopita, Dowans, Inflation kali, Kupanda kwa bei ya Umeme, Mishahara minono ya Wabunge, Mgawo wa umeme. Hii yote ni mijadala mikali ambayo imezaa hasira kwa wananchi, na hasira hizo kujionyesha wazi kwenye maandamano ya Chadema, hivi hamuoni kwamba inawezekana kweli Usalama wa Taifa kujaribu kudivert attention za watu?
Tuweni makini waungwana, tusije tukawa tumepigwa changa la macho.
Kuhusu kupata nafuu kwa wagonjwa wa kisukari, huo mti wa Babu wataalamu wa madawa ya kiasili ya mimea wanasema una tabia ya kusaidia wagonjwa wa kisukari, kwa hiyo suala hapa siyo imani, bali ni kwamba huo mti kwa asili yake unasaidia wenye kisukari, ni vyema watu wakajitafutia huo mti na kujitengenezea dawa, kuliko kwenda kwa Babu anayedai eti lazima dawa akupe yeye ndo upone!