Ushuhuda: Ukiona Mganga anataka PESA nyingi fahamu tu huyo sio mganga utaibiwa

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA.

Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu.

Wakuu ukiona mganga anataka hela kuanzia 10K fahamu tu huyo tapeli Chakula cha babu hakizidi 3-5K.
 
muulize je anaweza kunisaidia kupata pesa nyingiii niende vacation 3 matata 😃
Elfu 3 yake iko kwa pochi hapa
 
Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA.

Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu.

Wakuu ukiona mganga anataka hela kuanzia 10K fahamu tu huyo tapeli Chakula cha babu hakizidi 3-5K.
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom