ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...


Smile hebu nieleze all that time , ulivunja ungo at what age/ darasa la ngapi ?? na mpaka A level ulikuwa hujagongwa ?? nafikiria ulikuwa unapata taabu kila ukienda haja ndogo , maana ilikubide utumie maji mengi sana kuideki
 
Smile smile the dearest au Dr. alifanya nini kwa mfano???
Isije kuwa alijitwika jukumu la kukunyoa akidai ndo tiba................................................

Duh we umewaza ambalo sikuwazia the DR! Atakuwa ndo alianza na mengine duh!

Smile pole! Mi sikumbuki kufundishwa kunyoa! Wala sijawai wazia kuwa kuna watu inaweza kuwa shida!
Umenifanya niwe makini ntakapomfundisha mwanangu akikuwa hili nalo litakuwemo thanks aisee dadadadahhh hii kali! Tumalizie please!
 

.....Hahahahahah lol! hii kali πŸ™‚πŸ™‚ bora uliamua kwenda kumuona daktari vinginevyo msitu ungezidi kuongezeka miaka nenda miaka rudi πŸ™‚πŸ™‚ huku ukidhani una kasoro za kimaumbile lol!

 
Last edited by a moderator:

hii imenikumbusha jamaa zangu nikiwa f6,kuna jamaa walikuwa walokole wakawa wanamaindi ticha anavyotamka yale maneno yetu. Alipowagundua akaanza kufundisha kwa kiswahili tena bila tafsida
 
sio a level tu kidogo nimalize na chuo bwana shetani huyu?

hehee! Wajanja walikuwahi. Kuna sisi ambao huwa hatukubali demu apite bila kutobolewa! Kama upo upo lazima tutakupata,hata opportunistically.! Hii kitu ipo sana kwa jamaa wanaojifanya wako bize kama wa medicine. Ni wabaya hao,..!!
 

Duuuu muda wote huo...? hukupata fungus ktk maku kweli...?
 
something is missing here ,very difficult to connect au utakuwa ulikuwa na matatizo sana...darasa la 6(TOPIC;UKUAJI NA MABADILIKO YA KIMWILI), form 4 na division 1 yako ya 10 ,biology hukusoma?(TOPIC;REPRODUCTION) + what happened kwny nywele zako za kikwapani?ulikaa nazo 7 years pia?.....ANYWAY ITS FUNNY THOUGH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…