heri yako mwaliHahahaha, nimecheka kweli. Mi nina bahati, kwanza mama alikua anatwambia sana kuhusu haya mabadiliko, na pia mi ni mtoto wa tatu wa kike na dada zangu walinambia na kunionesha mambo yote walipokua wanayaweka sawa. Ila ni kweli, mtu bila kuambiwa utajuaje? lol
aqhahaaa mkuu umeniacha hoiWatu wengi wameshabikia na kusmile! lakini wengi wamesahau kwamba jamii yetu sio wawazi sana kwenye mambo hayo na jamii yetu inategemea ujijulie mwenyewe mbele ya safari! Mimba nyingi za utotoni hutokea kutokana na kutaka kujaribu bila kuwa na taarifa sahihi! Mimi nilipopata "WET DREAM" kwa mara ya kwanza sikujua nikadhani nimelala na Jini! kila mara nikawa natamani jini aje anitembelee nipate tena ule utamu! ilichukua muda sana kuja kujua kumbe ni karanga tu zilikuwa zimejaa mwilini!!!!!!!!!!!!
nitakupm badaeDuh! Kila nikijenga taswira ya hicho michaka cha miaka saba, ninapata picha nzuri sana.
Siku hazirudi nyuma, lakini kama ungetupa hadithi kabla ya kuzinyoa kwa mara ya kwanza ningekushauri uyatunze hayo ma*uzi, ni kumbukumbu nzuri na pengine "treasure."
Tumalizie kisa Mkuu, umetuwacha na curiosity.
Weka Part Two, PLZ!
Wewe unaonyesha bado mtoto yaani umezaliwa kipindi cha dotcom. Miaka yetu mambo hayo yalikuwa ni siri sana huwezi kumkuta eti mwalim anafundisha darasani vitu kama hivyo, baada ya kuonekana watoto wa miaka hii wamepinda, mitandao nayo ni balaa ndio masomo yakaanza kufundishwa darasani, lakini miaka yetu, shule ya msingi huwezi kukuta masomo kama hayoWewe ni muongo coz hii elimu inatolewa std 6 & 7. So sad unavyoleta mada za uongo hapa
nitakupm badae
Im waiting eagerly. 10Xnitakupm badae
nitakupm badae
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
sio a level tu kidogo nimalize na chuo bwana shetani huyu?smile hongera sana kwanza kufika a level bila kuguswa, maana siku hizi watoto doh! Darasa la 5,6,7 ni kama mchezo, ukiulizia sekondari ndiyo balaa. Pointi yako ni ya kweli ni vizuri wazazi wakakaa na binti zao kuwaeleza mabadiliko ya mwili na hasa hatari ya kuukwaa ukimwi. Wazazi chelewa chelewa utamkuta mwana si wako.