Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

Mama mkwe tulizana basi, unamdiss mwekezaji shaulilo!
Nilishamwambia wala mimi siko hapa kujiproove to anyone. Nimeamua kukomalia hili suala. Na kuna negativities, lakini I just ignore them, sababu kuna a lot of positives as well. Ndio waAfrica tulivyo. #Sad. Ila thank you brother kwa ushauri wako leo. Truly appreciated. Halafu anasema nawatega WALA MIMI SASA HIVI SIPO TANZANIA,NA SIFANYAGI LONG DISTANCE RELATIONSHIPS, kwa hiyo there is nothing to gain from any woman. Najiandaa ili nikirudi Tz next time, niwe na zana za kutosha za kufanikiwa katika hili. Pia naelewa umuhimu wa kuwa mkweli sababu UKITAKA KUJIFUNZA KITU NA KUPATA USHAURI WA KUKUSAIDIA, ni muhimu uwe mkwei asilimia 100%.
 
Dah ..Dem wangu wa kwanza aliumiza sana...mgongo wangu wote umejaa makovu ya majeraha ya nyembe...nikichelewa kidogo kwenye pombe...hata iwe saa kumi tu usiku...alikuwa ananidunda sana [emoji16]

Sent using Beretta ARX 160
 
Dah ..Dem wangu wa kwanza aliumiza sana...mgongo wangu wote umejaa makovu ya majeraha nyembe...nikichelewa kidogo kwenye pombe...hata iwe saa kumi tu usiku...alikuwa ananidunda sana [emoji16]

Sent using Beretta ARX 160
Hehehe. Duh! Itakuwa alikuwa na musuli balaa. Pole kaka.
 
Mama mkwe tulizana basi, unamdiss mwekezaji shaulilo!
Sijamdiss mzee wa abroad mkwe wangu, kanifurahisha tu.
Hebu kwanza nipe samari ya siredi maana nimeishia hapo anapokwendaga abroad.
 
Tuko pamoja sana, tatizo new members wengi humu wanakujaga na story za kizushi ndio maana wakomentiji hawaishi kejeli mkuu ila mi nshapazoea humu wala isikupe tabu. Wata adjust tu baada ya mda, watapoona huyumbi you don't need to prove anything!
 
Sijamdiss mzee wa abroad mkwe wangu, kanifurahisha tu.
Hebu kwanza nipe samari ya siredi maana nimeishia hapo anapokwendaga abroad.
Jamaa amesalitiwa na mtoto wa Kichuga, alikuwa anaonekana supa sana jamaa akamkaribisha kwake kabisa. Baada ya trip za hapa na pale abroad demu akabadilika flani kumbe alikuwa ana import X wake kimya kimya. Mara ya mwisho alirudi bongo bila taarifa ndio kukuta mazingira hayaeleweki akamtaiti ampe simu. Demu akagoma, punde si punde mgeni anaingia na gari akaamuru afunguliwe aingie hadi ndani bila bugudha huku akipiga simu polisi waje. Kuhamaki kumbe ni X wa mwanamke wake. Ikabidi awatimue wote kwa msaada wa polisi waliokuwa wamewasili kwake na alipekua simu ya KE wake akakuta madudu.
 
ila mambo mengine mnayataka wenyewe ....

kwenye mapenzi bhana cheza pati yako ila ukisema uchunguze mambo lazima ukutane na cha moto

unataka kuniambia wewe hata ukiwa na mwanamke anakua peke yake hut...mbi nje ?

kwenye mapenzi peaneni uhuru cha msingi heshima tu.

kama ni mwanamke pigwa sana uwezavyo ila usiniletee mtoto wa nje ya ndoa tu.

...... ni akili yangu tu hio lakini....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni theory au kweli kuna mtu amewahi fanya?
Hivi mwanaume ambaye ameshawahi kulala na mwanamke na ni mzima wa afya anawezaje kukaa miaka 2 bila kufanya mampenzi?

Au wakati unamwangalia hiyo miaka miwili pembeni una mchepuko wako?

Jamani kama hatuna ushauri mzuri tuache hizo za Alinacha.

Binafsi nasema hivi demu akikuzingua kubali maana ni sehemu ya maisha. Move on kwa kuanzia amsha popo kama kawa ujipoze machungu, mbeleni utatulia.
 
Duuuh hawa viumbe doooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…