Mimi huwaga nawahurumia sana, jinsi wanavo fanywa mara wageuzwe hivi mara vile walielie weee! hadi asubuhi wkt mimi nimeuchapa usingizi, mara mimba mara kutapika, shida ya mwingine upate taabu weye ya nini?
badala ya kukasirika nawaulizaga unataka kwenda kupata taabu? wakikubali nawaruhusu tu
mjifunze kwetu