USHUHUDA: Wanawake wenye Miguu ya ngamia wamebarikiwa sana

Mkuu hio miguu ya ngamia hapa bongo wanayo watu wa wapiii au kanda ipi[emoji16]
Mkuu hii hutokea tuu,mi nlibahatika mmoja tuu na alikua wa njombe,aloo usiombe ainame,inakuna mashine balaa
 
Mkuu hapo mi bado sijakusoma vizuri,, mguu wa ngamia unamaanisha mwanamke mwenye mguu wenye uvungu au?
 
Mods huu uzi uunganishwe na ule wa warembo worldwide
 
Hii habari ya camel toe nitrue kabisa aisee,tena maranyingi mademu usiowategemea ndio hua nayo,sikuwahi kudhani nikwann nilishindwa kumuacha demu flani,hivi ambae kimsingi kijamii nilikua naogopa kuonekana MTU wake maana,alikua niwale maslay queen,halafu mfupi Hana,inshu,aisee baadae yakulala nae,nikashangaa Sana,Hadi nilivyodhamiria Kwa taabu Sana,kutengana nae,mleta mada umenifanya niwaze mbali Sana mazee loh,
 
Haijalishi hata kama ana Camel Toe,,, ila usioe...

Ushauri uzingatiwe.
 
Naona leo Ni maadhimisho ya camel toe duniani,, hili nalo litapita tu
Nimecheka kwasauti yajuu Hadi watu wakanishangaa,nikweli Neno laMungu Tu ndio litabaki milele mengine yote yatapita!hata Camel toe itapita Tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…