Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Pole sana mkuu, mimi kitu cha cha kwanza kabla sijakugegeda lazma nikupime damu Aiseee.
na pia una ujasiri sana mdada, hivi mimi nikiambiwa muathirika si nitaanza kutembea uchi barabarani, inahitaji moyo wa ziada aisee
Kawaida mdogo wangu sie tunaishi tu, usimuani mtu hata akiwa mzuri na mkali vipi by the way amini usipende kuwekeze kwa mademu wakali ambao wana ushawishi na wanashindaniwa sana
 
wabongo

bana wanajifanya waoga lakini usiku wanapiga shoo za kibabe kama kawaidaa
mtazamo wako haupingwi
ingekuwa uoga tusingejisahau na kuvua ndom kirahisi bila kupima

sema kupitiwa
muhimu kujua afya yako na ya mwenzako,uaminifu ndo msingi.

maana hata mkipima hata ukiwa muoga nakuwa mwaminifu mwenzako akiwa si muaminifu ukimwi utaletewa tu

usiombe yakukute,tumuombe MUNGU tu atuepushe
 
Best nakushangaa unawanyooshea wenzio kidole hali ya kuwa makosa waliofanya wenzio nawe unapita mulemule ningekuelewa kama ungefungua uzi na I'd yako iliyozoeleka(sorry)
Hiyo id yake iliyozoeleka ni ipi hawachi[emoji3][emoji3]
 
Wazee waliowahi kula tunda kimasihara mko wapi??
 
Hmm, nimejaribu kuvaa viatu vyako, kwa kweli nimeshindwa. Mungu akupe afya njema.
uvae viatu vyake wewe unavaa 38 namba za watoto mwezako anatundika 44 una mguu wa kuingia kwenye raba yake?

kwanza wewe unavaaga flat shoes tangu lini? acha viatu vya wenzio baki na makandambili yako
 
kuna comment yako priscillah ipo humu humu sijui page ya ngapi umeandika

"humu watu tunajuana kwa codes,yawezekana kuna wadada nao wameathirika sana tu"

hapa napata mashaka hii id yaweza kua ya njemba flani hivi,huwezi tuaminisha kua wadada nao "wamewaka"

ki ufupi story yako ni maisha halisi tunayoishi binadamu ila story muhusika si wewe muandika thread "na uhakika na hilo"
 
Mhhhh kuna kitu umenionya hapo ngoja nikapime, maana nimekya na uhusiano na girl toka mwezi wa 2 ila nilikua natumia kinga mwanzoni ila baadae nikaenda nikaacha kutumia, lkn nilienda kupima nikakuta niko negative, sasa sinaendele tena kutumia kinga. Ila sasa ngoja nikapime na nianze kutumia kinga tena
 
Dinnah,
any way sijatoa comment kwa kulaumu mfano ni mara ngapi unaenda kuwaona wagonjwa hospitali unaapa autapiga mzigo tena mara jioni ukiwa tungi unagonga limu ya ukimwi ni pana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…