Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Uzuri wa HIV huwa haiambukizi waliokwisha ambukizwa. Inaambukiza wapya kila siku.

Lakini huku niliko HIV ikifika naamini UPEPO WA KISULISULI sio mchezo.
Kivipi mkuu? Kwamba huko ngoma hakuna? Ni wapi huko kiongozi?
 
WADADA WOTE MLIOFUNGA PM ZENU TUMEWASHTUKIA

MSHAKINUKISHA HALAFU HAMTAKI MAWASILIANO TENA

TUMESHTUKA[emoji44][emoji52]
 
Dooh!!! Hivi rafiki hiyo kula tunda kimasihara ndio aje? [emoji3]

Mana naona hili neno linashika kasi mbaya.
Yaani ile hujakaa sawa shwaaa!!!,umeliwa

Halafu unajiuliza hivi imekuaje kuaje nimeliwa kizembe hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio ushaliwa kimasihara hivo
 
Huyu si mwingine bali ni Demis.
Hahahaaaj we jamaa acha zako

Uncle Mshana jr hembu njoo huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unataka uncle wangu akimbilie msata kucheki kwenye Rada zake kama yupo salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mshanajr
 
I see!!!
 
Lastly, kuna vijana baadhi nilikutana nao humu ndani they were good guys lakni niligundua wengi wao hawajali afya zao na wanaongozwa sana na sexual desire, maana unakuta mwanaume mko nae faragha baada ya mzunguko wa kwanza from nowhere anataka muende peku au katikati ya tendo anavua mpira kwa makusudi, wanajijua watakuwa mashahidi nilikuwa nawakatilia katukatu maana nilikuwa nawajali sana.

Duh....hapa sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…