Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

Tunaomba ushuhuda kwa ss je umepona kuna mahubiri nilisikia watu wanapona huu ugojwa

Tunasubiri chanjo ya huu ugojwa 2023 sio mbali wazee wakutoa mipira katika yamechi wajiachie

Hivi ukiwa nao chajo haifanyi kazi tena au inakuaje wataalam

Dah pole sn mdada na unaujasili sn ila ingekua mm siku hyo naambiwa naona kuna mawili yatanitokea kua kichaa au ndio last day kwangu

Ukimwi upo tujikinge na tuwakinge tuwapendao kulinda vizazi vyetu vya baade
 
Nina hasira huwezi amini. Kwanini mtu usijiandae? Maneno maneno ya nini? Inaudhi sana. Ni wa kutandikwa bakora hao wanaoongoza Msikitini huo wa Ijumaa (code)
Ukiwafuatilia sana unaeza lia aisee.

Haya wacha nimalizie kusoma huu uzi wa ushuhuda japo umeniumiza tu na kuwaza walio wadogo kwangu jinsi walivyo na changamoto katika kuzikwepa hadaa za Me.

Pia kama ni kweli nimesikitikia sana mleta uzi kwa kumpima huyo Mwalimu wake kwa maneno ya mdomoni.
 
Mbona kama kuna mengi yatupasa kujua lakini hamtujuzi...
 
Wanaume wanashida nyingi sana hasaa wakishakula bia masuala ya condom ni kitendawili kwao, angalia pia kipindi hiki cha corona watu pia hawajali , yaani stori kama hizo ziko nyingi sana ila wanaojiweka wazi na kuuambia umma kwamba wameathirika ni wachache sana , HONGERA kwako inabidi hao uliokua nao wanavua ndom mchezoni uwachane laivu wakapime maana inaelekea ndio kichezo yao hao
 

Wewe ni mtu mzuri sana, Mungu akubariki sana na pole sana.
 
Hamna hata mengi Mkuu ni vile namna umetafasiri.

Cc. kolola
Kila mtu na fikra zake. Naona tumepatia maana kuna marafiki zangu wawili humu wangejua, wangeniparura si kawaida. Ila niliumia sana tena sana. Ningekuwa kijana ningeenda kuomba uongozi wa msikiti ili niwaoneshe misikiti inavyoongozwa hadi ikajiendesha yenyewe bila kutegemea matajiri uchwara.
 
Lakini usisahau kuwa wengi wa humu hasa vijana ni waoongo sana. Anasema A wakati hali halisi ni Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…