Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜‹πŸ˜³

First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka kwa member ambao nimebahatika kuonana/kukutana nao.
 
Hahahaaaa. Yabidi tuombe miaka irudi nyuma mana wanatuchezea sana wale.

Naamini ungekuwepo haya yote yasingetokea. Teh teh.
 
Hahahaaaa. Yabidi tuombe miaka irudi nyuma mana wanatuchezea sana wale.

Naamini ungekuwepo haya yote yasingetokea. Teh teh.
Mwisho wa yote ni kusononeka tu. Bosi wangu wa zamani aliniasa kuwa kuna wakati akili inauambia mwili ufanye kitu lakini mwili unashindwa kutii; huo ndio uzee
 
Hongera kwa ujasiri ila wote wajue ukimwi haupimwi kwa macho.Usijitoe ufahamu ukiwa umevua nguo kwani ukimwi unakucheki tu.Usiwaseme walimu wa vyuo, kila ofisi na kila jengo ukimwi upo.Vunja ukimya, nenda kapime leo na usiogope kupokea majibu.
 
Kama hiyo picha hapo ni yakwako, wewe hauna ukimwi...
 
Let them talk babe...maybe they get paid or maybe they get healed or maybe they cum so lets them enjoy.
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
😘😘😘😘😘😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…