E ebayzanzibar Member Joined Mar 8, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Mar 14, 2013 #1 jamani wana jamii ningependa kujua utaratibu nagharama za kuitoa gari hapa dar ambayo inatoka zanzibar,imeshalipiwa ushuru huko zanzibar, je kuna gharama gani kuipitisha hapo dar kutokea zanzibar????????? ahsanteni
jamani wana jamii ningependa kujua utaratibu nagharama za kuitoa gari hapa dar ambayo inatoka zanzibar,imeshalipiwa ushuru huko zanzibar, je kuna gharama gani kuipitisha hapo dar kutokea zanzibar????????? ahsanteni
M Maega Senior Member Joined Jul 10, 2010 Posts 156 Reaction score 30 Mar 14, 2013 #2 very useful question. Mnaofaham tusaidieni