Ndugu naomba kuuliza napotaka kuanza biashara ya asali nasikia kikwazo kikubwa ni kamatakamata ya askari wa maliasili..
Swali langu ni je, upatikanaji wa kibali ukoje?..au ni njia gan naweza tumia ili kuepuka huu usumbufu kwa anaefaham anielimishe...
Nawasilisha.