Ushuru unaolipa nao unakatwa Tozo

Nchi imekosa maono. Viongozi dhamira zimekufa, hawaumizwi na chochote kinachowaumiza wapiga kura wao.
 
Mungu bado analipenda sana hili taifa tumpe muda
 
Hii sirikali inakula hela mpk hela inashangaa
 
Li nchi la hovyo hili, Ila kuna sku Mungu atalivunja tuuu , ngoja honeymoon ya utanzania ianze kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…