mgao wa umeme
Member
- May 16, 2011
- 47
- 4
Uliongezwa kwa sababu gani wakati ndio bei uliyonunuliaNimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be forward ndo bei yake.
Halafu wanapamgaje bei wakati hawauzi Magari ? Yaani ni kero Hata mimi nimelipa hela iNimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be forward ndo bei yake.
Nimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be forward ndo bei yake.[/QUOTE
TRA ni majanga tupu Hata mimi nilishangazwa kulipia ushuru unaozidi bei Ya gari. Wanaamuaje bei wakati wao hawauzi Magari ? Hivi tanzania tuna mifumo Ya ku complain kweli? Inauma Hakuna jinsi unaweza jua kiasi unalipa bila wao kuamua
kwa nini mkuu!? teh teh teh tehSamahani mkuu, hiyo Passo ulikuwa unamnunulia mwanao wa chekechea au ya we mwenyewe baba mwenye nyumba???
Aaahhh!!! Aaahhh!!!! Aaahhh!!!!Samahani mkuu, hiyo Passo ulikuwa unamnunulia mwanao wa chekechea au ya we mwenyewe baba mwenye nyumba???
Hii id ina michango ya kipuuzi sanaSamahani mkuu, hiyo Passo ulikuwa unamnunulia mwanao wa chekechea au ya we mwenyewe baba mwenye nyumba???
Hapo kwenye bold uzalendo uko wapi jamani kodi walipe wawekezaji tu au!Nchi si inajengwa na sisi.Halafu mbaya zaidi wanakwambia huo upuuzi baada ya kuagiza........kwa hiyo unakuwa huna namna zaidi ya kulipa........nchi ya ki f a l a kweli hii........
Pole sana kakaNimeagiza kagiri kwa CIF ya USD 2950 Japan. Toyota passo ya Mwaka 2010. TRA wakaongeza 492.24 USD, kwamba bei niliyonunulia gari iko chini ukilinganisha na thamani ya gari. Mambo kama haya ndo yana sababisha rushwa. Kwa nn TRA wakatae bei alisi ya gari kwani ata ukingia kwenye website ya Be forward ndo bei yake.
Hapo kwenye bold uzalendo uko wapi jamani kodi walipe wawekezaji tu au!Nchi si inajengwa na sisi.
cc @Maswi.Hatukatai kulipa......tena tunalipa kweli kweli......tatizo ni....waweke wazi kodi utakazolipa ili ujue tokea mwanzo......sasa ninaponunua gari......wakati wa kulipa ndio naambiwa thamani ni ndogo......wakati naagiza ile bei ndio ilinipendeza........huoni ni u f a l a huo.......