Ushuru wa kutoa gari aina ya IST bandarini ni bei gani?

Ushuru wa kutoa gari aina ya IST bandarini ni bei gani?

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habarini wana jamvi naombeni kujua gharama za kutoa gari aina ya Toyota ist badarini baada ya kuwa nimelipa kodi ya TRA, kuna tozo gani nyingine za ziada na bei zake zikoje?
 
Uwe na kama na 1,000,000

Mchanganuo
1. Tbs 353,000/=
2. Shipping line 115,000
3.wharfage fee 150,000
4. Port handling charges 250,000
5. Registration + plate no 50,000
6. Agency fee 200,000

Total= 1,100,000 inarange humo
Port Handling na Wharfage kuna tofauti?
 
Habarini wana jamvi naombeni kujua gharama za kutoa gari aina ya Toyota ist badarini baada ya kuwa nimelipa kodi ya TRA, kuna tozo gani nyingine za ziada na bei zake zikoje?
Kuna mdau nimeona humu JF anasema TBS hawaruhusu kutoa gari bila kubadili tairi zote nne kwenye gari tena kwa kupitia kampuni yenye ubia nao hapo bandarini,Kindly confirm.
 
Kuna mdau nimeona humu JF anasema TBS hawaruhusu kutoa gari bila kubadili tairi zote nne kwenye gari tena kwa kupitia kampuni yenye ubia nao hapo bandarini,Kindly confirm.

Gari kama tyre zmechoka au kuisha muda wake hawakupi certificate ni wa sumbufu sana. Andaa kitu wape watakupa cheti wananjaaa sana
 
Gari kama tyre zmechoka au kuisha muda wake hawakupi certificate ni wa sumbufu sana. Andaa kitu wape watakupa cheti wananjaaa sana
Lakini kwa usalama wako na watumiaji barabara wengine kama tyre zimeisha ubora na matumizi bora ubadilishe kabla ya kuleta madhara.
 
Handling Charges
Corridor levy
Wharfage

Kwa ufafanuzi zaidi pitia hizi thread mbili utapata mwanga zaidi wa kukamilisha makisio ya hesabu yako.

Kwa ujumla uwe na ziada isiyopungua 700,000 hadi gari kuiweka barabarani.
Mmmmmmhmn 700,000 ndogo sana. At least awe na milioni na plus just incase..... Isipungue million moja.
 
Back
Top Bottom