Habari zenu wadau, Naomba anayefahamu gharama za kulipia ushuru wa perfume bandarini Coz nataka kufanya biashara ya kuingiza perfume kutoka nje na kuuza nchini.Kama unafahamu please ni PM au tuwasiliane Email yangu ni husseinmushi8@gmail.com Simu+255 768 594 367Ahsanteni sanaaaaaaaa.