Nimeambiwa ushuru wa maegesho unakatwa mijini kuanzia saa moja na nusu hadi saa kumi na mbili jioni (07h30 hadi 18h00)
1. Sasa kama ushuru unalipwa kwa Lisaa (shs 500); Kwa nini wasiishie saa kumi na moja (17h00) ili walio lipia wapate muda wa kutumia walicholipia ; hii ni kama tunataka kuwa realistic
2. Napendekeza gari likipaki chini ya dkk 15 lisilipie; kununua vocher, Maji, ATM nk. Wanaweza kuweka mfumo ambao gari likipaki linapigwa picha ambapo mfumo utaruhusu picha ya kulisajili baada ya dkk 15