Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru.
Unaagiza gari baada ya wiki tatu ushuru unaongozeka kidogo hadi mil 13+ kawaida kabisa kutoka na value ya USD KUPANDA NA KUSHUKA.
Gari inakaribia kufika, unafanya assessment na upate control number ya malipo ya Ushuru unashangaa unatolewa control number ya Mil 19+ hata kama USD inapanda sio kwa speed hii ya wiki mbili au tatu kutoka mil 12 hadi mil 19+.
Hii kitu inaumiza sana, na wanafanya hivi kwenye gari ambazo ni pendwa sana zinaoingia kwa wingi. Mfano sasa hivi wanaoingiza Mazda cx5, harrier Anaconda na Subaru Forester hasa hizi new model wanajua nini namaanisha.