Ushuru wa Mazao

Ushuru wa Mazao

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari wana jamvi!!!

MH rais amekuwa akisisitiza kuwa mkulima anapaswa atozwe ushuru na mamlaka husika ikiwa tu amebeba mzigo unaozidi Tani moja!!

Lakini Mbona tunaendelea kutozwa tu na Mamlaka husika!! Mfano mimi nasafirisha viazi ulaya kutoka mbeya kwenda mwanza kila Gunia natozwa 2000.

Hiii imekaaje wakuu.
 
Back
Top Bottom