Mambo vipi wadau
Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki
Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
Mambo vipi wadau
Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki
Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
Kama unataka kuagiza pikipiki kubwa kutoka Ulaya wacheki hawa Astraline Logistics wao wanakuagizia, inakuja mpaka Tanzania. Hapo utachagua ulipie kodi na kuisajili wewe au uwaachie wao.